Mkazi wa Katesh wilayani Hanang, Manyara, Dahai Gadir akilima kwa kutumia trekta dogo 'Power Tiller' lililotengenezwa Katesh na Mohamed Elmi kwa kutumia injini ya pikipiki. Alikuwa akimwonesha Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyekuwa katika ziara mkoani humo juzi. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu).

0 comments:
Post a Comment