katika vikisheni ya wiki moja nimetemelea kiota kimoja katika mji wa Bangalore kinaitwa wander LA kama kinavyoonekana juu,kuna ubunifu wa hali ya juu umefanyika katika eneo hilo kwa vivutio hii ni moja ya ubunifu niliokutana nao,ni choo chenye shura ya kichuguu ila ni ubunifu tuu mdau fares na erick katika vikisheni hiyo........
0 comments:
Post a Comment