TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, June 30, 2009

FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO DAR YAAGWA

11:59 AM
Baadhi ya waombolezaji wakipita kutoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu watano wa familia moja waliokufa kwa ajali ya moto mwishoni mwa wiki jijini. Mavyuma haya yaliyowekwa kwa nia njema ya kuzuia wezi na vibaka kuingia ndani kiurahisi na kukwapua mali za wenye nyumba (na ukizingatia Manzese ilivyomaarufu kwa vibaka) lakini vimekuwa pia ni kikwazo kwa wasamalia wema na majirani kuingia na kuwaokoa wakti wa moto huo ulipozuka na pia vikawa ni kikwazo hata kwa wao wenyewe kuweza kujiokoa hata kujikuta wakifa huku wakijiona. MUNGU awalaze mahali pema peponi HAPA

1 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Wapumzike kwa amani. Poeni wafiwa

Post a Comment

 
BONYA HAPA