
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo
ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya
mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn
Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye
makazi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Machi 12, 2014.

Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Uchukuzi , Ujenzi na Vifaa
wa Burundi, Mhandisi Virginie Ciza na mwenyeji wake Waziri wa Uchukuzi,
Dkt Harrison Mwakyembe (kushoto) kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjini
Dodoma Machi 12, 2014. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment