Baadhi ya wanachama wa UWF na washindi wa miaka ya nyuma pamoja na mshindi mpya wa mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja. 

Bi. Jane Matinde, Ofisa
wa Mahusiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya milion tano, kwa
mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends Bi.Mariam Shamo, mwishoni
Kulia ni Mkurugenzi wa benki ya Wanawake, Bi Magreth Chacha. Hafla hiyo
iliyofana kwa kiasi kikubwa ilifanyika kwenye kiota cha maraha cha
Escape One, Mikocheni jijini Dar mwishoni mwa wiki. 

Bi. Magreth Chacha,
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania, ambaye ni Mdhamini na
Mdau mkubwa wa UWF katika kuwaongoza washindi wa Mwanamakuka katika
kufikia malengo yao, akizungumza machache kwenye hafla hiyo. 

Mdhamini wa mradi wa
Somki- Somesha Mtoto wa Kike top 15, Mr. Chriss Wade, akimkabidhi mmoja
wa wahitimu aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya kidato cha nne. 

Mwenyekiti wa UWF, Maryam Shamo akisema machache kuhusiana na mradi wa Mwanamakuka 2014.






0 comments:
Post a Comment