TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, March 10, 2014

NDEGE INAYOHOFIWA KUZAMA BAHARINI, HALI BADO TETE

11:57 AM

Vikosi vya uokoaji kutoka nchini China vikielekea eneo inapodaiwa kuzama ndege ya Malaysia aina ya Boeing 777.
Meli ya ulinzi ya Vietnam ikiwa kisiwa cha Phu Quoc inapohofiwa kuzama ndege hiyo.
Baadhi ya ndugu wa abiria waliokuwa kwenye ndege iliyopotea wakilia kwa simanzi baada ya taarifa za kupotea ndege hiyo.
Ndege aina ya Boeing 777 kama iliyopotea.
NDEGE ya shirika la Ndege la Malaysia aina ya Boeing 777 iliyotoweka jana asubuhi bado haijapatikana mpaka sasa.
Ndege hiyo iliyokuwa imebeba abiria 227 na wafanyakazi 12 kutoka nchi mbalimbali ilipoteza mawasiliano saa moja baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur, Malaysia ikielekea Beijing, China.
Taarifa zinadai ndege hiyo ilianguka katika bahari karibu na visiwa vya Phu Quoc, Vietnam. Zoezi la kutafuta ndege hiyo bado linaendelea katika visiwa hivyo.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA