![]() |
Na Fares Lyimo
MAA (MYSORE ALUMNI ASSOCIATION) inakualika katika kikao cha kuunda na kusajili chama cha wanafunzi wa zamani waliosoma Mysore kwa nia na madhumini ya kusaidiana kijamii na kiuchumi kitakachofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 12.10.2013 Msimbazi Center kuanzia saa Tisa na nusu alasiri. Kufika kwako ndo mafanikio ya chama chetu, ukipata ujumbe huu fikisha kwa mwenzio. Ahsanten |
Tuesday, October 8, 2013

1 comments:
Asante sana kwa kutuwekea tangazo letu hapa. Shukrani. WANA MYSORE TUNAWAOMBA MJITOKEZE KWA WINGI ILI KUPATA MAWAZO MENGI ZAIDI KUFANIKISHA HILI JAMBO. KARIBUNI SANA.
Post a Comment