TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, October 8, 2013

MAA (MYSORE ALUMNI ASSOCIATION) inakualika katika kikao cha kuunda na kusajili chama cha wanafunzi wa zamani waliosoma Mysore-INDIA

6:34 PM



MAA (MYSORE ALUMNI ASSOCIATION) inakualika katika kikao cha kuunda na kusajili chama cha wanafunzi wa zamani waliosoma Mysore kwa nia na madhumini ya kusaidiana kijamii na kiuchumi kitakachofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 12.10.2013 Msimbazi Center kuanzia saa Tisa na nusu alasiri. Kufika kwako ndo mafanikio ya chama chetu, ukipata ujumbe huu fikisha kwa mwenzio. Ahsanten

1 comments:

Fares Lyimo said...

Asante sana kwa kutuwekea tangazo letu hapa. Shukrani. WANA MYSORE TUNAWAOMBA MJITOKEZE KWA WINGI ILI KUPATA MAWAZO MENGI ZAIDI KUFANIKISHA HILI JAMBO. KARIBUNI SANA.

Post a Comment

 
BONYA HAPA