TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, February 25, 2013

Padre mkuu wa kanisa katoliki,Uingereza ajiuzulu

11:33 PM
Mmoja wa mapadre waandamizi wa kanisa katoliki nchini Uingereza amejiuzulu wadhifa wake kufuatia shutma za kwamba alikwenda kinyume na matakwa ya kipadre mapema miaka ya themanini.
Kardinal Keith O'Brien ameachia madaraka kama kiongozi mkuu wa kanisa katoliki nchini Scotland na hatarajii kusafiri kwenda Vatican baadaye mwaka huu kumchagua Papa ajaye baada ya baba Mtakatifu Benedict wa 16 kijuzuruBBC imeelezwa kuwa kiongozi huyo,ameshutumiwa na mapadre watatu wa kanisa hilo na hatua hiyo ya kujiuzulu ni tukio kubwa katika mwenendo wa kanisa katoliki ikizingatiwa kuwa Kanisa hilo limekuwa kwenye shutma za ulaji rushwa na matatizo ya kiongozi kwa siku za hivi karibuni.
Inaarifiwa Padre O'Brien aliwauvinjia heshima makasisi mingo mitatu iliyopita.
Hata hivyo, mwishoni mwa wiki, alisema kuwa anapinga vikali madai hayo.
Duru zinasema kuwa hatua ya kujizulu kwa padre huyo kunaongeza shinikizo kwa makadinali wengine wanaokabiliwa na tuhuma za walivyoshughulikia kashfa za ngono
CHANZO:-BBC SWAHILI

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA