Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athuman amesema watuhumiwa hao wamewagawanya katika makundi mawili, ambapo kundi la kwanza ni la watuhumiwa 9 wakiwemo askari hao wawili wakidaiwa kuhusika na tukio la kuwaua kikatili na kisha kuwazika dereva na utingo wake
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athuman akiwa na viongozi wenzake wa jeshi hilo la polisi wakati wa kuongea na waandishi wa habari wa Mbeya
Silaha zilizokamatwa na jeshi hilo la polisi ndizo zilikokuwa zinatumika na majambazi hayo
Moja ya bastola iliyotengenezwa kienyeji kwa kutumia vipande vya bomba lakini inatumia risasi za kawaida na nihatari sana silaha hii
Hizi ni vifaa vilivyokamatwa katika matukio mbalimbali yaliyotokea mkoani hapa kamanda amewaomba wananchi wa mbeya kuja kuvitambua ofisini kwakwe
Hizi ni silaha na sare za jeshi ambazo walikuwa wanatumia majambazi hao waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji
Waandishi wa habari wakimsikiliza kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya
Mfanyabiashara maarufu wa eneo la Mwanjelwa, Gath Mbilinyi (32), anayetuhumiwa kuteka na kuua
Hawa ndiyo wanaotuhumiwa kuwaua dereva na utingo wake na kisha kwenda kuwazika porini
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
0 comments:
Post a Comment