Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Uongozi wa
Wzara ya Kilimo na Maliasili,baada ya kuzindua rasmi mashine za Kuvunia
Mpunga,(Combine Harvester) katika hafla iliyofanyika leo huko shamba la
Kilimo la Serikali, Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa sita kushoto)akiangalia Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine
Harvester) baada ya kufanya uzinduzi wa
Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14
katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu
Bambi ,Wilaya ya Kati Mkoa waKusini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasha Mashine ya Kuvunia
Mpunga,(Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine
hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika
kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi
,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga
Ukitoka katika mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya
kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Uliovunwa
kwa kutumia mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya
kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na wananchi na wakulima wa Mpunga wa Maeneo mbali mbali
baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa mashine za Kuvunia Mpunga (Combine
Harvester) huko Shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati
Mkoa wa Kusini Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Kilimo na Maliasili
Suleiman Othman Nyanga,(katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Othman
Affan Maalim, baada ya kumalizika hafla ya kuzindua mashine za (Combine
Harvester) leo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment