Mteja
aliejitokeza katika maonesho ya sabasaba akipata maelezo ya namna ya
kutumia simu ya ZTE 502 pia iliyokuwa na muda wa maongezi wa shilingi
elf 6000 na kuuzwa kwa shilingi elfu 13 ikiwa ni ofa maalum katika
maonesho hayo ya sabasaba.
Wakala
wa Vodacom M PESA akitoa huduma ya M- PESA kwa mteja alietembelea
maonesho ya sabasaba jijini Dar es. Kampuni ya Vodacom Inashiriki katika
maonesho hayo kama mdhamini rasmi wa mawasiliano.
0 comments:
Post a Comment