Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni
wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru
wa nchi hizo. Anayeongozana nao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Mecky Sadik.
ais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi
Afande Saidi Mwema na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange baada
ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe
za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo


0 comments:
Post a Comment