TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, July 11, 2012

Semina ya Kuandaa Mpango Kazi wa Mwaka 2012-13 Wa Bunge la Afrika ya Mashariki

8:59 PM
 Wabunge wa Afrika Mashariki Shy Rose Bhanji na mwenzake kutoka burundi wakibadilishana mawazo na na spika wa bunge la Afrika ya Mashariki, Magreth Nzziwa (katikati), kutoka Uganda ambaye ni spika wa kwanza mwanamke toka kuanzishwa tena EAC hapa wakiwa kwenye kikao cha kupanga kazi za mwaka za bunge hilo katika Hotel ya East Afrikan jijini Arusha
  Spika wa bunge la Afrika ya mashariki, Magreti Nzziwa Nantongo akiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2012-13 ya bunge la Afrika ya mashariki kwenye Hoteli ya East African hotel jijini Arusha.
  Mbunge wa bunge la afrika mashariki Shyrose Bhanji Akipitia kwa makini makabrasha ya semina ya mpango kazi wa bunge la afrika ya mashariki jana jijini arusha
 Wabunge wa Bunge la afrika Mashariki wakiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo na kuanda mpango kazi wa mwaka 2013 kwenye hotel ya East African jijini Arusha pichani ni mwakilishi na mbunge wa bunge hilo shyrose Bhanji wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa semina hiyo.Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA