TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, July 21, 2012

Mafunzo ya Kutengeneza Tovuti Kwa Kutumia Joomla kwa Kiswahili

11:32 AM
Katika dunia ya leo, kuwa na website sio kitu cha kuchagua tena bali ni cha lazima, ila kuwa website inayofanya kazi kwa gharama nafuu ni chaguo madhubuti. Katika kulitambua hili, timu nzima ya AfroIT.com inakuletea mafundisho ya kutengeneza website kwa kutumia award winning open source Joomla bila gharama yoyote. Mafunzo haya yenye module 17 hadi sasa yameshafikia module ya  kumi.

 Mafunzo haya yanayotolewa kwa kiswahili tena kwa mtindo wenye uhalisia wa Mtanzania, yanawafaa watu wote kuanzia mtengeneza tovuti, mmiliki wa blog nk, hivyo wakati ni huu sasa.

 Unaweza kuangalia mafunzo haya kwenye Youtube Channel yetu au moja kwa moja toka kwenye tovuti yetu ya AfroIT.com. Pia unaweza kudownload na kuweka kwenye simu, kompyuta, iPad nk  na ukawa unapata mdidi kila ulipo.

 Pia usisite kutumia Forums kwa ajili ya majadiliano pindi unapopata utata kwenye mafunzo na kuhitaji msaada.

The Team

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA