Kufuatia taarifa za ajali ya meli zilizokuwa zimeshafika Bungeni, huku watu takriban 250 wakisemekana walikuwa kwenye meli iliyokuwa ikizama huko pwani ya Zanzibar, mheshimiwa Hamad Rashid Mohamed, alilazimika kumuomba mheshimiwa spika "kwa heshima na busara zake" aahirishe Bunge ili wabunge wakaungane na Watanzania wenzao katika tukio hilo. Cha ajabu sana, spika akakataa kuahirisha Bunge kwa madai hakuna wanaloweza kufanya.
0 comments:
Post a Comment