TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, May 31, 2012

SERIKALI YACHANGIA MILIONI 10 KAMA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA MAREHEMU KANUMBA

2:15 AM
Tunafarijika sana sisi wasanii na serikali yetu ya sasa hatuna cha kuwapa zaidi ya shukrani zetu za dhati kwenu kwa kipaumbele mnachotupatia kwa sasa hii haijawahi kutokea katika serikali zote zilizopita tunakushukuru sana Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kututhamini sisi wasanii wa Tanzania, kwanini nasema hivi leo.., serikali yetu ya Tanzania imetoa milioni kumi kwa famila ya marehemu Steven Kanumba kama rambirambi ya serikali yetu. Familia ya The Great na sisi wasanii wote Bongo Movie tunasema tunawashukuru sana..bofya hapa

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA