| BENDI mpya ya muziki wa dansi ya WK Music Sound mwishoni mwa wiki
iliyopita ilifanya onyesho la utambulisho wake lililofanyika kwenye
ukumbi wa Pentagon uliopo Kurasini, Dar es Salaam. Bendi hiyo inaundwa
na wanamuziki wengi maarufu kutoka bendi mbalimbali za mjini Dar es
Salaam. Pichani, baadhi ya wanamuziki wa bendi hiyo wakiwajibika stejini
wakati wa onyesho hilo. (Picha na Emmanuel Ndege).
|
0 comments:
Post a Comment