TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, May 9, 2012

PRETTY ndiye REDDS Miss UKONGA 2012

3:30 PM

kwa husani ya  mroki Blog

 Redds Miss Ukonga 2012, Elizabeth Pretty akipinga mkono p[amoja na mshindi wa pili Mary Chizi (kulia) na mshindi wa tatu Stellah Maurice. Shindano hilo lilifanyika Mei 5, 2012 katika ukumbi waWenge Garden ulipo Ukonga Mombasa, jijini Dar es Salaam.
 vimwana wa Redds Miss Ukonga wakicheza ngoma ya ufunguzi.
 warembo wa Redds Miss Ukonga 2012 wakipita jukwaani na vazi la ufukweni
 Washiriki wa Redds Miss Ukonga wakipita jukwaani na bvazi la jioni
Warembo wa Redds Miss Ukonga 2012 ambao wamepata tiketi ya kuingia Redds Miss Ilala 2012 wakiwa katika Picha ya Pamoja na mshindi wa Kitongoji hicho katika shindano lao lililofanyika Mei 5 2012.

Shindano la Miss Ukonga 2012 lilidhaminiwa na Redds Primium Cold, Clouds FM, Father Kidevu Blog, Kiota Jungle, V Mask Logistic, Mambya Insurance, Mamushka Pub & Catering, Hill tech Resort, Mr Mabaga, G Obonyo na Excel Beaut Salon.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA