TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, April 28, 2012

WADAU WA MAGAZETI YA UDAKU UPEO UMEISHIA KWA KIFO CHA KANUMBA…???

2:53 PM
Wote kama wadau wa tasnia ya filamu na habari tumehuzunika kwa kuwa hatukutegemea kutokea yaliyotokea.
Lakini kifo cha ndugu yetu na mpendwa wetu ndio kiwe kiuzio cha magazeti..? Kila kukicha mara hivi mara vile huku mkijua kabisa mnachokiandika ni ‘Fix’ ili gazeti liuze. Au ndio kutimiza msemo usemao “Kufa Kufaana”..?
Wadau wana MO BLOG tunauliza. Kisingetokea kifo hicho ina maana magazeti yangekuwa ‘Empty”…??
Sisi wana MO BLOG hatudhani kama ni uungwana kugeuza msiba wa mwenzetu kuwa ‘dili’ ya kuuza magazeti yapo mengi yanayotokea katika jamii yetu ambayo tunapaswa kuwahabarisha wasomaji wetu AU?
Mimi Lemmy Hipolite wa MO BLOG naomba kutoa hoja binafsi na kuiwasilisha kwenu wadau kama nimepotoka nirudisheni kwenye barabara………!!!!

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA