TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg

Habari Mpya:
Saturday, April 28, 2012

Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki CHADEMA,Tundu Lissu, akilia muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dodoma, kutupilia mbali mashitaka yaliyotolewa kupinga watokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge.

2:56 PM

Ikiwa ulipitwa kusikiliza taarifa iliyozungumzia hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, bofya hapa kurejea toleo lililotangulia.
Picture
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki CHADEMA,Tundu Lissu, akilia muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dodoma, kutupilia mbali mashitaka yaliyotolewa kupinga watokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge.
Picture
Mbunge wa Viti maalum Kataru, Manyara, Rose Kamili (karibu na Lissu) alia pia
Picture
Lissu akifutwa machozi na mkewe (picha zote via: wwwbayanablogspotcom.blogspot.com)

Source: http://www.wavuti.com/#ixzz1tKF8h5yW

0 comments:

Post a Comment

BONYA HAPA