Rais Kikwete akimzawadia Neville Meena (Overall Winner) wakati wa hafla ya tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Rais Kikwete aklimzawadia Mzee Fili Karashani
Rais Jakaya kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu na nyum yao ni washindi Fili Karashani (Lifetime achievement Award) na Neville Meena (Overall Winner) wakati wa hafla ya Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Rais Jakaya kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu na nyuma yao ni washindi Fili Karashani (Lifetime achievement Award) na Neville Meena (Overall Winner) wakati wa hafla ya Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
2. Rais Kikwete katika Picha ya pamoja na washindi wote.Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment