TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, April 9, 2012

PINDA ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI NYUMBANI KWA KANUMBA

7:33 PM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa  mwigizaji  mahiri nchini, marehemu Steven  Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam, Aprili  9, 20§12.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo  Pinda  akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt.Rehema Nchimbi  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 9,2012 kuhudhuria kikao cha Bunge  kinachotarajiwa kuanza Aprili 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA