Home » »Unlabelled » Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) yapata ajali leo kigoma Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) yapata ajali leo kigoma kilinyepesi 7:40 PM Abiria 35 na marubani waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) wamenusurika kufa baada ya Ndege waliokuwa wakisafiria kuanguka mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Mshirikishe Mwezako Kupitia: Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Post a Comment