TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, April 7, 2012

BREAKING NEWZZZ MSANI WA FILAMU TANZANIA STEVE KANUMBA AAGA DUNIA.

8:44 AM
Habari zinaripoti kwamba nyota wa movie za Tanzania, Steven Kanumba amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla. Habari zaidi zitawajia pale zitakapopatikana.


2 comments:

kibungu sumaili said...

Pole sana ndugu zetu wa Tanzania kwa maombolezi ya kumpoteza msani maarufu kama huyo.Nadhahi sio Tanzania pekee ndio ambayo imepoteza bali Afrika nzima.Nasi waafrika waishio sehemu mbali za za n'nchi za magarbi,abari hiyo imetuhuzunisha saana.
sote tunasema,Mola amuweke mahali pema.

K . S . Hashim
Brisbane,Queensland
AUSTRALIA

kibungu sumaili said...

Poleni ndugu zetu wa Tanzania na Afrika nzima kwa kumpoteza nyota na msaani maarufu Steven Kanumba.
Msiba huo umetupa huzuni na majonzi makubwa saana hata kwetu sisi wafrika waishio n'nchi za magaribi.Filamu za kijana huyu zilikua zenye mafunzo mazuri ya maisha ya mwana adm, Sote kwa jumla tunasema,Mola amuweke mahali pema.

K.S. Hashim
Brisbane,Queensland
AUSTRALIA

Post a Comment

 
BONYA HAPA