Habari zinaripoti kwamba nyota wa movie za Tanzania, Steven Kanumba amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla. Habari zaidi zitawajia pale zitakapopatikana.
Pole sana ndugu zetu wa Tanzania kwa maombolezi ya kumpoteza msani maarufu kama huyo.Nadhahi sio Tanzania pekee ndio ambayo imepoteza bali Afrika nzima.Nasi waafrika waishio sehemu mbali za za n'nchi za magarbi,abari hiyo imetuhuzunisha saana. sote tunasema,Mola amuweke mahali pema.
Poleni ndugu zetu wa Tanzania na Afrika nzima kwa kumpoteza nyota na msaani maarufu Steven Kanumba. Msiba huo umetupa huzuni na majonzi makubwa saana hata kwetu sisi wafrika waishio n'nchi za magaribi.Filamu za kijana huyu zilikua zenye mafunzo mazuri ya maisha ya mwana adm, Sote kwa jumla tunasema,Mola amuweke mahali pema.
2 comments:
Pole sana ndugu zetu wa Tanzania kwa maombolezi ya kumpoteza msani maarufu kama huyo.Nadhahi sio Tanzania pekee ndio ambayo imepoteza bali Afrika nzima.Nasi waafrika waishio sehemu mbali za za n'nchi za magarbi,abari hiyo imetuhuzunisha saana.
sote tunasema,Mola amuweke mahali pema.
K . S . Hashim
Brisbane,Queensland
AUSTRALIA
Poleni ndugu zetu wa Tanzania na Afrika nzima kwa kumpoteza nyota na msaani maarufu Steven Kanumba.
Msiba huo umetupa huzuni na majonzi makubwa saana hata kwetu sisi wafrika waishio n'nchi za magaribi.Filamu za kijana huyu zilikua zenye mafunzo mazuri ya maisha ya mwana adm, Sote kwa jumla tunasema,Mola amuweke mahali pema.
K.S. Hashim
Brisbane,Queensland
AUSTRALIA
Post a Comment