TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, March 16, 2012

8:55 PM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi Mpya wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe.Bi Shamim Nyanduga ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uganda,Dkt.Ladislaus Komba ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ameagana na mabalozi wapya watatu watakaoiwakilisha Tanzania nchi za nje.Mabalozi waliokwenda ikulu kumuaga Rais Kikwete ni pamoja na Dkt.James Msekela anayekwenda Italia, Dkt.Ladislaus Komba anayekwenda Uganda na Mhe.Bi.Shamim Nyanduga anayekwenda Msumbiji.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Italia Dkt.James Msekela ikulu jijini Dar es Salaam leo.Picha na Freddy Maro

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA