TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, October 7, 2011

ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NCHINI BRAZIL

1:40 PM


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kulia) October 5, 2011 kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo.  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu picha ya wafugaji wa kabila la Wamasai aliyomzawadia Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kushoto) October 5, 2011 baada ya mazungumzo yao kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Mary Nagu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Waziri wa Kilimo na Mifugo (MInister for Agriculture, Livestock and Supply , Mhe. Jorge Alberto Portanova wakati alipowasili kwenye ofisi za Wizara hiyo zilizoko Brasilia kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil, October 5, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kulia) October 5, 2011 kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comments:

Nchemwa said...

Kwenye hiyo panel ya kuzungumzia masuala ya nishati, mbona simwoni WAZIRI NGELEJA?

Post a Comment

 
BONYA HAPA