Kwa waperuzi kurasa za wavuti, kwa wale ambao hamja fika katika ukurasa wa 'audios' napenda kukufahamisheni kuwa zimeongezwa redio nyingine za Tanzania kadiri zilinavyopatikana mtandaoni "online".
Ukitaka kusikiliza redio yoyote, bofya kifute cha 'audios' hapo juu kwenye 'menu bar' kisha chagua redio unayotaka kuisikiliza, bofya kifute cha 'play' kwenye player husika na ikiwa redio hiyo ipo hewani, basi utaisikia bila tatizo lolote.
Ukitaka kubadili redio, basi chagua unayoitaka kupitia orodha inayosomeka upande wa kulia "right column".
Happy listening! Nakutakia usikilizaji mzuri!
source: wavuti

- Tanzania Choice FM
- Tanzania Clouds FM
- Tanzania Country FM
- Tanzania Ebony FM
- Tanzania Jambo Radio
- Tanzania PRIDE FM
- Tanzania Qiblaten
- Tanzania Radio Maria
- Tanzania TBC FM 94.6
- Tanzania TBC Taifa
- Tanzania Times 100.5 FM
- Tanzania Radio Safina
- Tanzania Radio Sauti Ya Injili, Moshi
Happy listening! Nakutakia usikilizaji mzuri!
source: wavuti
0 comments:
Post a Comment