TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, October 14, 2011

GARDINER ABASH ALAMBA 11M KWENYE PROMO YA VODA SIKU 55 ZIMEBAKI PROMO KUMALIZIKA

1:49 PM

 Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimwelezea mshindi  wa luninga Sylvester Stewa baada ya kujishindia luninga hiyo katika   promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo  wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katika Afisa masoko wa kampuni hiyo Simon Mwambapa
 Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 11 mshindi wa  promosheni ya Mega Mume wa Lady Jay Dee Gardner Habash(kulia)inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo  wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katikati Meneja wa Vodacom Henry Tzamburukas
 Mshindi wa promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Gardner Habash(kulia)akiangalia hundi yake yenye thamani ya shilingi Milion 11 baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja wa Vodacom Henry Tzamburukas,kulia ambapo wateja hushiriki na kujishindia fedha taslimu na luninga ya kisasa kila siku.
 Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimuangalia mshindi wa   Tsh Milioni 11, Juvenal Kwayu akifurahia hundi yake aliyejishindia katika promosheni ya mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu.
 Mshindi wa Tsh Milioni 11, Juvenal Kwayu akifurahia hundi yake aliyejishindia katika promosheni ya mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu
Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kati)akiwa na washindi  wa luninga  kujishindia luninga hiyo katika   promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo  wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katika Afisa masoko wa kampuni hiyo Simon Mwambapa

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA