TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, September 23, 2011

vodacom foundation yatoa msaada wa mabango yenye thamani ya sh.3.5 kwa watu wenye ulemavu

8:36 PM


Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga (wa pili kilia) akimshukuru Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon wakati wa kukabidhi mabango 30 yenye thamani ya shilingi 3.5 M kwa ajili ya watu wenye ulemavu Nchini. Wa pili (kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani kwa watu wenye ulemavu Jutoram Kabatele na Mwakilishi wa Compass Communications Mario Mpingirwa. (Mpiga picha wetu)

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA