TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, September 23, 2011

Rais Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil

8:37 PM


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil jijini New York ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika maongezi mafupi na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtabulisha Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh Ombeni Sefue kwa  kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil .Picha na Ikulu Mawasiliano.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA