Mratibu wa mradi wa elimu kupitia michezo ( Education Through Spots) Anold Bugado akiweka vipimo vipya uwanja wa Namfua.
Viongozi wa chama cha soka mkoa wa singida SIREFA wakiweka vipimo vipya kwenye uwanja wa michezo wa Namfua mjini singida.
Haya
ni magoli ya zamani ambayo yamevunjwa kutokana na kutokuwa na vipimo
sahihi sasa yatawekwa magoli mapya.(PICHA ZOTE NA HILLARY SHOO,
SINGIDA).
0 comments:
Post a Comment