![]() |
Wagonjwa
wote wa kisukari waliokunywa dawa kwa Mchungaji Ambilikile Masapile
‘Babu’ kijijini Samunge, Loliondo watakufa (au watapukutika) ikiwa
wataacha kutumia dawa za hospitalini, Uwazi limegundua.
Kwa
mujibu wa uchunguzi wa gazeti hili, watu wengi waliokunywa dawa ya Babu
ambao walikuwa na ugonjwa wa kisukari wamefariki dunia baada ya kuacha
kutumia dawa za hospitalini... Soma zaidi; http://www.globalpublishers.info
|
Tuesday, April 5, 2011

0 comments:
Post a Comment