Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sylvester
Rwegasira wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo jioni katika makaburi
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Rais Dkt Jakaya...Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sylvester
Rwegasira wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo jioni katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la
aliyekuwa Katibu mkuu wa TRAWU Marehemu Sylvester Raphael Rwegasira
wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika makaburi ya Kinondoni
jijini Dar es Salaam. (picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment