TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, April 13, 2011

POLISI OYSTERBAY YAKAMATA MAGUNIA YA BANGI .

12:06 AM
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Dar es Salaam, Charles Kenyela, akiwaonyesha waandishi wa habari magunia ya bangi yaliyokamatwa jijini Dar es Salaam jana wakati wa Operesheni ya 'Zuia Uhalifu jijini' inayoendelea ambapi pia polisi walifanikiwa kukamata na pikipiki moja yenye namba za usajili ZNZ 52709 aina ya Honda DX inayosadikiwa kutumika kinyume na malengo kwa kufanyia uhalifu kutokana na pikipiki hiyo kuwa na namba za usajiri 2 Yaani Plate namba mbili.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA