
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL),David Minja akizungumza leo
kwenye semina ya waandishi wa habari za michezo iliyofanyika katika
hoteli ya South Beach,Kigamboni jijini Dar.

Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari
za michezo katika semina iliyoendeshwa leo kwenye hoteli ya South
Beach,Kigamboni jijini Dar,ikiwa ni semina ya maandalizi ya Ligi ya Kili
Taifa Cup 2011 yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mei 6 katika mikoa
sita hapa nchini.BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment