
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Hussein Bashe
(kushoto) akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa
Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Nembo
ya Rangi Nyekundu ya kampuni hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya
Kempinsk Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya
simu za mkononi Vodacom, Dietlof Mare .

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi Vodacom, Dietlof
Mare, akizungumza kuelezea maudhui ya nembo ya rangi nyekundu ya
Vodacom.
0 comments:
Post a Comment