Wanamuzki
wa bendi ya Extra Bongo iliyo chini ya uongozi wa Kamalade Ally Choki,
wamepata ajali mbaya alfajiri ya leo wakati wakitoka katika onyesho lao
lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza jana usiku.
Gari
lililokuwa limewabeba wanamuziki hao limepata ajali hiyo maeneo ya
Magomeni na baadhi ya wanamuziki wa bendi hiyo wamejeruhiwa na
kukimbbizwa katika Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu.
|
0 comments:
Post a Comment