TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, April 19, 2011

3 comments:

Anonymous said...

hawa wazushi, si ndo tarehe walitangaza watamleta tid?au wamefulia?maana hao waandaji ni wazushi mno, lazima wagombane kila time kisa mgao wa hela

Anonymous said...

Watanzania hatujui kujenga hata siku moja sasa huyu jamaa hapa juu anaponda nn?...wwe kama unao uwezo wa kumleta TID tuletee TID sasa unalia lia wakti huna lolote unalolifanya bana?..aisee usiwe muongeaji sana kuliko utendaji..mi nawapongeza waandaaji wa hii shoo manake tutapataa hata pa kusherehekea pasaka manake duuh!....sikukukuuu hzi zinatupitaga tu!

Anonymous said...

Ebana daah sana tu black n Yellow tutajiachia si Pasaka bana kumbe tulale ndani?...tutapumzika kusoma siku iyo...kitu gaaaaaaaaaaaaaan

Post a Comment

 
BONYA HAPA