
Mkurugenzi
wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu akifunguwa Warsha
ya Mafunzo kwa Wasimamizi wa Matumizi Salama ya Baiteknolojia ya kisasa
Nchini kulia ni Muakilishi wa AU,NEPAD,ABNE, Profesa Diran Makinde
kushoto Mkurugenziwa Uratibu na Utafiti Chuo Kikuu Dr Rose Kingamkono
Warsha imefanyika Hotel ya White Sands Mjini Dar es Salaam,[Picha na Ali
Meja].
0 comments:
Post a Comment