Mshauri
wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kulia) akimpa
chakula mtoto Husna Abdalah wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo
walipokwenda katika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika
mazingira magumu cha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya
sherehe za Sikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam.

Baadhi
ya watoto wakipiga picha na Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC,
Robi Matiko-Simba (kulia) na baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo
walipokwenda katika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika
mazingira magumu cha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya
sherehe za Sikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam.Na othman michuzi
0 comments:
Post a Comment