TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 24, 2011

YCLEF JEAN ALIDANGANYA KUPIGWA RISASI

2:44 PM
Polisi nchini Haiti wamefunguka kuwa madai ya Rapper na Mwanaharakati, Wyclef Jean aliyedai kuwa amepigwa risasi mkononi siku ya mkesha wa Uchamkuzi mkuu nchini humo,si ya kweli.

Mkuu wa Jeshi la Polisi la Haiti,Vanel Lacroix amesema kuwa Wyclef alipata majeraha baada ya kudondokewa na vipande vya kioo lakini anashangaa imekuaje amesema kuwa amepata jeraha la risasi.
Mkuu huyo alifunguka zaidi na kusema “tulikutana na daktari aliyemtibu na kutuambia kuwa alikatwa na vioo na sio jeraha la risasi” na kusema story hii ni yakutengeneza tu wala “sio kweli”

Inaelekea mwana alitengeneza story ili aweke attention kwa mshikaji wake,Michael Martelly ambaye pia ni mwanamuziki,aliyegombea Urais wa Haiti baada ya Wyclef kuwekewa kipingamizi na inasemekana kuwa alisaidia kifedha

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA