| Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano Bi.Sama Suluhu Hassan
akiwa na Balozi wa Norway Nchi Tanzania Bi.Ingunn Klepsvik katika picha
ya pamoja Mara baada ya Mazungumza yao ya Changamoto za Muungano na
Mabadiliko ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya
Umoja wa Kitaifa huko Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam
Leo.Picha na Ali Meja |
0 comments:
Post a Comment