| Mmoja wa wananchi waliofika kupata huduma na kuhudhuria semina hiyo kwanza, akiuliza swali kupata ufafanuzi kuhusu nini chanzo hasa cha ugonjwa wa figo. |
| Watu wakiwa katika foleni ili kupata huduma ya kupimgwa figo kwenye viwanja hivyo vya Mnazo Mmoja. Upimwaji huo na huduma zote ni bure |
| Salma Hemed akiwa na mtoto wake Latifa Jumanne (aliyelala), ambaye alimleta kupata kupimwa figo, kwenye viwanja hivyo. kwa mujibu wa mama, Latifa ana uvimbe tumboni. |
0 comments:
Post a Comment