Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo Ally Choki
Bendi maarufu kwa kutoa burudani ya muziki wa Dansi nchini Extra Bongo wana Next Level, kesho Machi 4 watafanya onesho kali la utambulisho wa wanamuziki wake wapya waliojiunga na bendi hiyo hivi karibuni. Onesho hilo litafanyika katika ukumbi wa New Msasani.
0 comments:
Post a Comment