Kwa wazalendo wote napenda kuchukua nafasi hii adhimu mbele yenu kuufikisha ujumbe huu wa kheri kwenu. Vile vifa tulivyokuwa tukivizungumza hapo awali vilokusanywa kutoka kwa wafadhili mbali mbali waliojitolea kwa ajili ya kusaidia juhudi za maendeleo huko Zanzibar. Ndio hivyo kama mnavyoviona katika picha, vimeshapakiwa katika behewa na Feb 6,2011 vitakuwa safarini kuelekea nchini Tanzania zanzibar ili kusaidia Elimu ya Zanzibar. Habari ndio hiyo na bado tuna hitaji michango yenu, kwa wale wote waliokuwepo njee ya nchi kama Canada, US, UK. NK kuna behewa yani kontena, kama hilo la meza, Computers, wheel chairs, roundtables, books shelves, books na kadhalika.
Michango yote inakaribishwa kwa wote kwa kiwango cha aina yoyote na kutumwa katika account zifuatavyo (1) NEWDAYAFRICA NON PROFIT ORGANIZATION 31217 ne 110 th St Carnation wa 98014 USA http://www.paypal.com tumia link hii kwa malipo ya paypal use name aminallybts161@live.com kwa kutoa mchango wako kupitia online au Andika cheque kwa jina Zanzibar library project Jumuia hii inafanya kazi pamoja katika kukusanya michango kama mfadhili wa vifaa vyetu vilivyopo.
(2) BANK OF AMERICA WA ACCOUNT NO 32000473 NAME AMIN IBRAHIM ALLY 13932 Ne 14 Th Street Apt 8 Bellevue Wa 98005 USA. Simu 01 425 943 -0074 Napia unaweza kutoa mchango wako kupitia West Union. Napenda kutanguliza shukrani nyingi na dhati kwa Raia wema wa Tanzania na Zanzibar katika kufanikisha michago yenu bila shaka kila mmoja ana dhamira kubwa katika kutoa mchango wake katika kusaidia huduma za kijamii na kuboresha hali ya maisha kwa vizazi vipya.
0 comments:
Post a Comment