kimeingia kitatoa masomo kwa njia ya mtandao kwa wafanyakazi wa Taasisi 11 za Benki hapa nchini ikiwemo RDB. Pichani, Mkurugenzi Mkuu wa Milpaki, Julian Van-Der-Westhusein, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mkandala, wakitia saini mkataba wa uendeshwa wa masomo hayo,leo. hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Movenpick, Dar es Salaam
TAASISI 11 ZA BENKI IKIWEMO CRDB KUSOMESHA WAFANYAKAZI KWA NJIA YA MTANDAO CHUO KIKUU CHA MILPAK KUPITIA UDSM
kimeingia kitatoa masomo kwa njia ya mtandao kwa wafanyakazi wa Taasisi 11 za Benki hapa nchini ikiwemo RDB. Pichani, Mkurugenzi Mkuu wa Milpaki, Julian Van-Der-Westhusein, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mkandala, wakitia saini mkataba wa uendeshwa wa masomo hayo,leo. hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Movenpick, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment