Home » »Unlabelled » JK arejea toka ivory coast JK arejea toka ivory coast kilinyepesi 9:02 PM JK akiwa katika ,mazungumzo na Makamu wa Rais Dr.Mohamed Gharib Bilal(watatu kushoto),Waziri mkuu Mizengo Pinda(wanne kushoto) pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni akitokea nchini Ivory Coast ambapo alishiriki katika juhudi za kutatua mgogoro wa kisiasa nchini humo <div id='neXTReMe'><img alt='' height='1' src='http://e1.extreme-dm.com/s10.g?login=michuzi&j=n&jv=n' width='1'/> </div> Mshirikishe Mwezako Kupitia: Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Post a Comment