TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, February 22, 2011

DIAMOND NA MRISHO MPOTO WARUHUSIWA NA POLISI

11:39 PM
Baada ya kupelekwa kituoni kwa kile kilichodaiwa kurecord video ya maafa eneo la gongo la mboto na kurecord vipande vya mabomu ambavyo bado vilikuwa vipo maeneo ya jirani, hatimae wameruhusiwa kuitumia video hiyo baada ya kufanyiwa uchunguzi ila amethibitisha kuwa kuna vipande ambavyo vimetolewa na havitaonekana kwenye video hiyo ya ngoma yao inayoitwa gongo la mboto. 2011 GRAMMY Nominees

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA